Streetsnap
It's all about sharing and discussing a different interesting pictures in the streets. joyngwembele@gmail.com
Tuesday, March 28, 2017
Tuesday, October 28, 2014
wingi wa ajari za barabarani Dar es salaam
Monday, October 27, 2014
Foleni yawa kero kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro road.
Foleni yawa kero kwa watumiaji wa barabara ya morogoro road kitu kinachopelekea uvunjwaji wa sheria za barabarani. Nini kifanyike kuhusu hili?
Foleni iliyopo morogoro road
Foleni eneo la ubungo maji Dar es salaam
Foleni ubungo
![]() |
| Foreni morogoro road |
Wednesday, October 22, 2014
Wimbi la watoto wa mitaani hili nalo nitatizo la Selikari peke yake
Ongezeko la watoto wa mitaani bado ni kubwa Selikali peke yake imeshindwa kulitatua.Watoto kila kukicha wanazidi kuongezeka kwenye mitaa yetu wakikosa elimu na kuomba omba mitaani, sababu kubwa ikiwa magonjwa, ukatili, manyanyaso, udanganyifu , na kutelekezwa na wengine kutumwa kutafuta pesa majumbani mwao, Hali inayopelekea kuongezeka kwa ujinga ,uhalifu na magonjwa ya zinaa kwa kukosa elimu ya afya ya uzazi ni wakati wa mimi na wewe na Selikari yetu kuinuka na kushikana mikono pamoja na makampuni ya watu binafsi kutatua wimbi hili.
.
![]() |
| watoto wa mitaani ,faya Dar es salaam |
![]() |
| Mtoto akiwa anaomba msaada yeye na mdogo wake |
![]() |
| Watoto wa mitaani wakijaribu kuomba msaada kwenye daladala |
Monday, October 20, 2014
Soko la samaki Ferry Dar es salaam
Thursday, October 16, 2014
Tuesday, October 14, 2014
Roli la mafuta lasababisha maafa ya moto
Roli la mafuta limedondoka usiku wa kuamkia jana, Mbagara rangi tatu na kusababisha maafa ya moto yaliopelekea kuungua kwa baadhi ya nyumba ziliopo eneo hilo. Nakusababisha vifo vya watu watatu waliokuwa wanachota mafuta kwenye roli hilo na wengine kumi na tano kujeruhiwa.
![]() |
Roli la mafuta lililosababisha maafa hayo. |
![]() |
Baadhi ya nyumba zilizokumbwa na maafa hayo. |
![]() |
Wakazi wa Mbagara rangi tatu wakishangaa na kusikitishwa na athari zilizo sababishwa na moto huo. |
Subscribe to:
Comments (Atom)









.jpg)


