Roli la mafuta limedondoka usiku wa kuamkia jana, Mbagara rangi tatu na kusababisha maafa ya moto yaliopelekea kuungua kwa baadhi ya nyumba ziliopo eneo hilo. Nakusababisha vifo vya watu watatu waliokuwa wanachota mafuta kwenye roli hilo na wengine kumi na tano kujeruhiwa.
![]() |
Roli la mafuta lililosababisha maafa hayo. |
![]() |
Baadhi ya nyumba zilizokumbwa na maafa hayo. |
![]() |
Wakazi wa Mbagara rangi tatu wakishangaa na kusikitishwa na athari zilizo sababishwa na moto huo. |



jamani wa Tanzania tujiepushe na haya majanga ya kujitakia utaonaje kitu cha hatari na wewe bado unajitokeza elimu inaitajika kwa kweli
ReplyDelete