Tuesday, October 28, 2014

wingi wa ajari za barabarani Dar es salaam

Wimbi la ongezeko la ajari za barabarani jijini Dar es salaam nini chazo cha ajari hizo?

Ajari iliotokea temeke jijini Dar es Salaam


Ajari hii imetokea baada ya roli kukata kona na kontena kuangukia daladala.
Ajari iliopelekea kuungua kwa gari hilo Sinza Africana, jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment