Wednesday, October 22, 2014

Wimbi la watoto wa mitaani hili nalo nitatizo la Selikari peke yake

Ongezeko la watoto wa mitaani bado ni kubwa Selikali peke yake imeshindwa kulitatua.Watoto kila kukicha wanazidi kuongezeka kwenye mitaa yetu wakikosa elimu na kuomba omba mitaani, sababu kubwa ikiwa magonjwa, ukatili, manyanyaso, udanganyifu , na kutelekezwa na wengine kutumwa kutafuta pesa majumbani mwao, Hali inayopelekea  kuongezeka kwa ujinga ,uhalifu na magonjwa ya zinaa kwa kukosa elimu ya afya ya uzazi ni wakati wa mimi na wewe na Selikari yetu  kuinuka na kushikana mikono pamoja na makampuni ya watu binafsi kutatua wimbi hili.


watoto wa mitaani ,faya Dar es salaam


Mtoto akiwa anaomba msaada yeye na mdogo wake 

Watoto wa mitaani wakijaribu kuomba msaada kwenye daladala
.

No comments:

Post a Comment