Baadhi ya picha zikionyesha tatizo la maji kwa wakazi wa Kimara Kin'gongo Dar es salaam![]() |
Baadhi ya wakazi wa kimara kin'gongo wakifua na kuosha vyombo katika mto mbezi jijini Dar es salaam |
![]() |
Wakazi wa Kimara Kin'gongo Dar es salaam wakichota maji kwa ajiri ya matumizi yao ya nyumbani. |


MAISHA bora kwa kila mtanzania ndio hayo
ReplyDelete